Ezekiel 11:24-25

24 aRoho akaniinua na kunileta mpaka kwa watu wa uhamisho huko Ukaldayo nikiwa katika yale maono niliyopewa na Roho wa Mungu.

Ndipo maono niliyokuwa nimeyaona yakanitoka,
25 bnami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Bwana alichokuwa amenionyesha.
Copyright information for SwhKC